SEMINAR AND SENSITIZATION IN DODOMA Follow
SWAHILI
Semina na mikutano ya uhamasishaji husaidia kuwafikia wafugaji wa kuku, Pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili.
Walengwa wa mikutano ya uhamasishaji ni wafugaji wote wa kuku na wale wasio wafugaji
Wafugaji wadogo hunufaika sana kutokana na uhamasishaji, hupata majibu ya maswali yao kuhusiana na ufugaji wa kuku.
Katika kuwasaidia hawa wafugaji wadogo, huwa tunatoa elimu juu ya ufugaji bora wa kuku na kufuga kibiashara, Tunawasaidia kwa kuweza kuwapa elimu ya ufugaji kwa kuanza na mtaji mdogo na baadae kuweza kukumiliki kuku wengi Zaidi.
Kuku aina ya sasso wameweza kusaidia kaya nyingi kwa kuongeza kipato kupitia ufugaji wa kuku kama biashara, pia husaidia familia nyingi kuimarisha lishe kupitia ulaji wa nyama ya kuku Pamoja na mayai.
Semina na Mikutano ya uhamasishaji iliyofanyika Dodoma imesaidia kuongeza ufahamu kwa wateja wetu juu ya bidhaa zinazopatikana Silverlands Pamoja na huduma zitolewazo.
Katika huduma zitolewazo Silverlands ni mafunzo ya ufugaji bora wa kuku kutoka katika chuo chetu (PTC) Pamoja na Maabara nzuri na ya Kisasa inayoweza pima magonjwa ya kuku na kutoa ushauri.
ENGLISH
Seminar and Sensitization meetings help to reach poultry keepers and solve their challenges on Poultry.
These meetings are targeted to both poultry keepers and non-poultry keepers,
Many Small holder farmers are benefits from the sensitization meetings and got answers from their unanswered questions about poultry keeping.
In helping these farmers, we provide education on good management skills, Poultry keeping for commercial purpose, also to improve household income and nutrition by eating chicken meat and eggs.
We also give them mathematical algorithm to begin with small capital and later to own large flock size.
Seminar and Sensitization meetings that held in Dodoma helped to create more awareness to our customers on products and services we provide.
Silverlands provide training courses on poultry at our Poultry Training Center (PTC) at affordable price, and Modern equipped Diagnosis Laboratory Service (SDL)
Comments
0 comments
Please sign in to leave a comment.